Letra de ' Naogopa (feat. Harmonize) ' de Marioo

En nuestro sitio web tenemos la letra completa de la canción de Naogopa (feat. Harmonize) que estabas buscando.

Kwetu situnasherehe
Mapenzi, sio makasiriko ah haa
Kwetu ni fuhara tele
Maana mapenzi, sio makasiriko mmh mmh
Hata kama tukishindia tembele

Ooh! My love
Baba mwenye nyumba kodi apige kelele
Ooh! My love
Hata kama tunapanda dala dala
Mi nawe my love

Et chetu chumba kina mavyombo tele
Inahusu?
Wala sidhani kama hunipendi
Ila nawaza usipokuwepo ntaishije eeh
Mwenzako najua kamaa unanipenda
Umeniweka moyoni
Ila nawaza usipokuwepo ntaishije
Ndo ninaogopa (aah)

Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa (yao yao)
Hivi hushangai napendwa
Ila sura bado inakosa nuru
Yani najiona sipo huru
Napagawaa

Siku sinavyozidi kwenda
Najiona kabisa nitakufuru
Maana naishi ka-kunguru
Kutwa kuzificha mbawaa
Ridhiki yangu a papatu papatu
Mara nilipe vikoba upatu
Vipi ukija kutamani vya watu
Mimi si utaniacha

Ukiachilia mbali mashindao
Wanaonizidi pesa muonekano
Si lazima nikutajie mifano
Niahidi kama utayaweza mapambano
Icho ndo kinanipa mawaza
Nikikupost biashara matangazo
Sintoweza kukuechunga
Mbele za wenye mipunga

Mmh mmmh mmmh baby (abee)
What can I do?
Baby, I no go let you go
And I want you more
Oh wooh wooh wooh baby (abee)

What can I do?
Baby, I no go let you go
And I want you more
Mwenzako ooh

Aah aah aaaah naogopa
Kweli mwenzako naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Baisi kiota changu kiona choyo
Aah aah aaaah naogopa
Maana wasije nichoma mkuki wa moyo
Aah aah aaaah naogopa

Na na na na hi aah
Konde boy call me number one bahkresa
Mimwenzako naogopa aah
Aah aah mmh mmh aaah (tshi)

Play Escuchar " Naogopa (feat. Harmonize) " gratis en Amazon Unlimited

Existen muchos motivos para querer conocer la letra de Naogopa (feat. Harmonize) de Marioo .

La razón más común para desear conocer la letra de Naogopa (feat. Harmonize) es que te guste mucho. Obvio ¿no?

Cuando nos gusta mucho una canción, como podría ser tu caso con Naogopa (feat. Harmonize) de Marioo , deseamos poder cantarla conociendo bien la letra.

Saber lo que dice la letra de Naogopa (feat. Harmonize) nos permite poner más sentimiento en la interpretación.

Un motivo muy usual para buscar la letra de Naogopa (feat. Harmonize) es el hecho de querer conocerla bien porque nos hacen pensar en una persona o situación especial.

Creemos que es importante advertir que Marioo , en los conciertos en directo, no siempre ha sido o será fiel a la letra de la canción Naogopa (feat. Harmonize) … Así que es mejor centrarse en lo que dice la canción Naogopa (feat. Harmonize) en el disco.

Apréndete las letras de las canciones que te gustan, como Naogopa (feat. Harmonize) de Marioo , ya sea para cantarlas en la ducha, hacer tus covers, dedicarlas a alguien o ganar una apuesta.

Recuerda que cuando necesites saber la letra de una canción siempre puedes recurrir a nosotros, como ha ocurrido ahora con la letra de la canción Naogopa (feat. Harmonize) de Marioo .