Letra de 'Huu Mwaka' de Rayvanny

En nuestro sitio web tenemos la letra completa de la canción de Huu Mwaka que estabas buscando.

Si llevas mucho tiempo buscando la letra de la canción Huu Mwaka de Rayvanny , empieza a calentar la voz, porque no podrás parar de cantarla.

Huu mwaka eeh
Ndo mwaka wakufosi
Yaani mtake msitake
Huu mwaka mtaniita boss

Oya! Sieti, Chui!
Oh, no, no, no
(Ma Feelings make It)

Huu mwaka eeh
Ndo mwaka wakufosi
Yaani mtake msitake
Mtaniita boss

Huu mwaka eeeh! Wa Faida sio loss
Tushalala njaa huu mwaka mwendo wa misosi
Sisi mungu!
Anatulinda
Japo maadui wengi wanatiwinda
Vita nyingi ila tutashinda
Tushanyanyasika
Huu mwaka mwendo wa kuvimba!

Huu mwaka nanunua gari niwape lifti
Ameen!
Huu mwaka namaliza nyumba yangu kibiti
Huu mwaka wa machozi
Kwa Ex alienisaliti
Siku ya harusi yangu msimpe hata juisi
Anikomee!

Huu mwaka eeeh!
Huu mwaka eeeh!
Huu mwaka eeeh!
Huu mwaka eeeh!

Huu mwaka eeh
Ndo mwaka wakufosi
Yaani mtake msitake
Mtaniita boss

Huu mwaka eeeh!
Huu mwaka eeeh!
Huu mwaka eeeh!
Huu mwaka eeeh!

Kwanza nashukuru tumevuka
Tumeuona
Yale yalio pita yametukomaza
Oya wanangu wa boda boda
Wakina mama wauza mboga
Ata wachawi wabeba nyota
Huu mwaka ni wetu

Kama unadanga danga sana
Ila usisahau ku meki bwana
Uje kujenga kakibanda
Nawe uwe na kwenu
Na ukipata limama, eeh likomoe
Likupe pesa huu mwaka utoboe
Oya usikae kizembe
Na usichague jembe
Kama mkulima lima
Kama unaimba imba
Utoboe

Huu mwaka eeeh!
Huu mwaka eeeh!
Huu mwaka eeeh!
Huu mwaka eeeh!

Existen muchos motivos para querer conocer la letra de Huu Mwaka de Rayvanny .

Cuando nos gusta mucho una canción, como podría ser tu caso con Huu Mwaka de Rayvanny , deseamos poder cantarla conociendo bien la letra.

Si tu motivación para haber buscado la letra de la canción Huu Mwaka ha sido que te superencanta esperamos que puedas disfrutar cantándola.

Siéntete como una estrella cantando la canción Huu Mwaka de Rayvanny , aunque tu público sean solo tus dos gatos.

Un motivo muy usual para buscar la letra de Huu Mwaka es el hecho de querer conocerla bien porque nos hacen pensar en una persona o situación especial.

Algo que sucede en más ocasiones de las que pensamos es que la gente busca la letra de Huu Mwaka porque hay alguna palabra de la canción que no entiende bien y desea asegurarse de lo que dice.

¿Estás peleando con tu pareja porque entendéis cosas diferentes cuando escucháis Huu Mwaka? Tener a mano la letra de la canción de Huu Mwaka de Rayvanny puede zanjar muchas disputas, y esperamos que así sea.

Apréndete las letras de las canciones que te gustan, como Huu Mwaka de Rayvanny , ya sea para cantarlas en la ducha, hacer tus covers, dedicarlas a alguien o ganar una apuesta.

Recuerda que cuando necesites saber la letra de una canción siempre puedes recurrir a nosotros, como ha ocurrido ahora con la letra de la canción Huu Mwaka de Rayvanny .